Ng’ombe Wenye Afya,
Kutoka Kwa Wakulima
Kuhusu sisi    Tajiri Ng'ombe
Fattening Programs that Add Value Kuhusu sisi    Tajiri Ng'ombe Programu zetu maalum za kulea ng’ombe huongeza uzito na
thamani ya soko, kwa lishe ya kitaalamu
Usambazaji na
Usafirishaji
Kuhusu sisi    Tajiri Ng'ombe Usafirishaji na utoaji wa ng’ombe k
wa usalama kote Tanzania.

Tajiri Ng'ombe

Ng'ombe Wenye Afya Kutoka Kwa wakulima

Tukijenga Soko la Ng’ombe la Kuaminika Zaidi Tanzania

Tajiri Ng’ombe ni shirika la mifugo chini ya Dan’G Group of Companies Limited, lenye makao makuu Dodoma, Tanzania. Tulianzishwa ili kushughulikia changamoto zinazowakabili wakulima na wanunuzi katika sekta ya mifugo.

+255 625 377 978

.

Aina Ya Ngombe

Boran

Ng’ombe wa Boran ni moja ya mifugo ya asili inayoheshimika sana Afrika, ikijulikana kwa nguvu, ustahimilivu na ubora wa nyama

Ankole

Ng’ombe wa Ankole wanajulikana kwa pembe zao ndefu na uimara wao katika kustahimili ukame. Wana thamani kubwa sokoni kutokana na mwonekano wa kipekee, nyama bora na maziwa yenye mafuta kidogo.

Bonsmaras

Ng’ombe wa Bonsmara ni chaguo bora kwa uzalishaji wa nyama kutokana na mwili wao mkubwa, ukuaji wa haraka na uwezo wa kutoa nyama laini yenye ubora wa juu.

Tuulize swali Kuhusu Ufughaji Bora wa Ngombe Tanzania

Ni ng’ombe gani wanafaa zaidi kwa maziwa Tanzania

Ng’ombe wa Friesian na Ayrshire ndiyo maarufu kwa maziwa mengi, huku Ayrshire wakijulikana pia kwa maziwa yenye mafuta mazuri kwa maziwa mgando na jibini.

Ni ng’ombe gani wanafaa zaidi kwa nyama?

Ng’ombe wa Boran ndio wanaopendekezwa kwa nyama kutokana na mwili mkubwa, ustahimilivu, na ubora wa nyama yao. Pia wanastahimili magonjwa na hali ya hewa kame.

Mifugo hii huhitaji chakula gani ili kustawi vizuri?

Ng’ombe huhitaji malisho bora (majani na nyasi), chakula cha ziada (pumba, mahindi, mashudu ya pamba au soya) na maji safi ya kutosha kila siku. Kwa ng’ombe wa maziwa, lishe bora huongeza uzalishaji.

Karibu tujifunze Kuhusu ufugaji wa Ngombe

Soma Habari na Blogu za Hivi Punde Pata Taarifa Zote Mpya

Scroll to Top
Tuulize swali